Recent content by mhaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Kikokotoo umekisahau Kwa mtumishi wa umma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu na Kinachoendelea Kwa Sasa

    Mchawi ni GSM yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hadi leo sijaitwa Utumishi

    Ulifanyia usaili kituo Gani? Kituo Cha Mtwara hakuna aliyewahi kuitwa sijui kulikoni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge gani harudi 2025?

    Uupo sahihi na waliopitisha kikokotoo Upo sahihi kabisa bila kusahau wote waliopitisha kikokotoo kipya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Hivi kikokotoo kikoje kwa watumishi wa umma? Hii nchi bhaanaa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pay as you earn inafikirisha na kuumiza kichwa sana!

    Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000. Je, Kodi hizi zina uwiano Gani na kipato chetu watumishi wa serikali?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Utapewa mil 5 za bure za utetezi wa kikokotoo kipya kama Yale magoli ktk mechi za kimataifa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

    Personal attack inakusaidia nn? Kwani kikokotoo ni cha walimu tu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Acha kutudanganya wewe hujastaafu , unatetea dhuluma wewe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Elimu: Changamoto za utekelezaji wa kalenda ya mtaala

    wamesema kuwa mpango huu ulishafanyiwa utafiti ndani ya Tanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Ataakuwa KE wa kwanza kutumbuliwa awamu ya 6
Back
Top Bottom