Recent content by Mhaini

  1. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CCM yavunja rekodi Mkutano wa kufunga Kampeni Migoli Isimani

    CCM hadi Shetani mwenyewe kawakataa🤣🤣🤣
  2. Mhaini

    JamiiForums Tanzania WATUMISHI WA SERIKALI WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA WAKALIA KUTI KAVU…

    Aanze na Chalamila, Kibajaji, Mulirro na Bashungwa
  3. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Aliko Dangote ampongeza Samia kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2026

    Hata wewe wakikugawia mlima wa Makaa ya Mawe utashindwa kupongeza? Wanaofaidii nchi ndo wanapongezana
  4. Mhaini

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za NIDA Kisongo (Arusha) wamegoma kunihudumia kisa nimevaa suruali, wakati watumishi wao nao wamevaa

    Kwani ni ID zao? Walinzi wanahusikaje na ID ya mtu?
  5. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Parking ya Halmashauri ya Temeke. Kwanza ukienda kupark unakuta mafundi wappo wanatengeneza magari..🤣🤣 Hela wanajua kukusanya, ila kujenga parking aah!
  6. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Temeke Parking zote mliwauzia watu wa ICD waweke Makotena yao. Hata Hospitali ina parking ndogo ya Wafanyakazi na Ambulance mbili tu. Ukiacha kujibana pembeni ya barabara kisha unalipishwa, Twambie ni Wapi temeke wamenjenga parking kwa ajili ya watu binafsi.
  7. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini. Kwamba ndo ubunifu wa kuingiza kipato Halmashauri. Ukiwauliza Parking kwa Temeke zipo wapi hata za...
  8. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Ni nani anamtishia maisha Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya?

    Hapa Nchini aliyepo juu ya Sheria ambaye tumesikia mara kadhaa anafanya atakavyo ni 'mmoja' tu! Hakuna Mwingine mwenye jeuri ya kumtisha Kamishina wa madawa ya kulevya. Halafu Polisi wanafuatilia watu wanaoandika Mitandaoni na kudaia Serikali ina Mkono mrefu, halafu wanashindwa kukamata mtu...
  9. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Mahakama Kuu ya Tanzania, haina njia ya kupitia Walemavu

    Hii inawezeekanaje Karne hii? Na Majaji, Mawaki wapo kimya. Hata kama jengo la zamani. Siku hizi kuna teknolojia ya kuweka njia ya Walemavu hata kama gorofa 10. Na viongozi wa Mahakama wametulia tuli kwenye Mashangingi ya walipakodi wa Tanzania Walemavu. Hii ni aibu kwa Mzanzibari Samia...
  10. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatajwa kuwa Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania

    Upo sahihi. Chadema sio chama cha upinzani bali chama kikuu cha siasa Tanzania
  11. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

    Eti Mwambe alikamatwa kwa kosa la kutaka kumuua mkuu wa Polisi. Eti kala njama🤣🤣🤣
  12. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

    Matusi yako uwe unayaongea kwenye meza ukiwa unakula na mama yako, sio kwenye thread zetu kwani sio siye tulio kuzaa na tabia mbaya
  13. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

    Mmakubwa haya. Sijui unamchokoza nani mtukanane
  14. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

    Ndo nini?
Back
Top Bottom