Missile of the Nation: Tafadhali ifungulie Thread ya kivyake, Video hii. Watanzania ni wepesi wa kusahau. Thread yako ikiambatana na Video hii, itafungua macho ya wengi, kuhusu jinsi Mbowe alivyogeuka 180 degrees, baada ya miezi michache. Narudia tena, Missile of the Nation; TAFADHALI SANA! THIS...
Kwa hili umeongeza chumvi. Wakati wa ujenzi huo nimepita sana barabara hiyo. Kwenye kibao cha construction, jina la client liliandikwa, "FGBF GROUP OF DEVOTED MEMBERS". Huo ndiyo ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Wewe Elia F. Michael, uliyeweka uzi huu hapa, ni MWONGO! Mimi Mhabarishaji ndiye niliyefanya uchunguzi huo, na kuandika bandiko hilo la uchunguzi wa uraia wa Askofu Kakobe, katika HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO tarehe 23 May 2018, na mtu yeyote akiangalia uzi huo wenye kichwa "Uhamiaji waenda...
Baada ya kupiga kambi hapa wilayani Kakonko, kwa wiki mbili sasa, uchunguzi wangu umebaini pasipo shaka, kwamba, Idara ya Uhamiaji, Dar-Es-Salaam; imewatuma maafisa wapelelezi wawili, mwishoni mwa mwezi uliopita, wilayani hapa, ili kuchunguza uraia wa Askofu Mkuu Zachary Kakobe. Wapelelezi hawa...
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar-Es-Salaam, imemwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe, kumwita kwa ajili ya mahojiano.
Barua hiyo yenye Kumbukumbu Na. BA: 120/231/02/82 ya tarehe 5.4.2018, imemtaka Askofu Kakobe kufika katika ofisi...
Mpaka sasa Watanzania wengi, viongozi na raia wa kawaida, bado wana hofu ya kuwa upande wa upinzani. Lowassa na wafuasi wake lukuki wakihamia CHADEMA wataondoa hofu hiyo. Siyo hilo tu, uwezo alio nao Lowassa, wa kuibomoa CCM ni mkubwa mno kwa mbali, kuliko uwezo aliokuwa nao Mrema mwaka 1995...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.