Recent content by Mh. Mrope

  1. M

    Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

    Ndugu zangu hata mapacha wanafanana lakini sio kwamba wanaweza kufanana na mawazo..kuwa ndani ya chama haimaniishi mtu asiwe na mawazo yake binafsi kama tunakubali demokrasia basi tukubali mpaka kwenye vyama vyetu huu mfumo wa kidemokrasia uweze kutumika..alichokifanya Shibuda si kwamba ni...
  2. M

    Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

    Hili ndo tatizo la vijana WA Kitanzania katika fani ya sanaa..kuna wengi tu wenye akili kama za huyo kijana na hawajui protocal za maisha..wana ndoto kubwa za kuweza kuzitimiza ila hawana nidhamu ya njia zitumiwazo kuweza kufikia malengo yao...si muimbaji mzuri sana lakini anaweza kujifunza...
Back
Top Bottom