Waarabu wanachukiwa na baadhi ya watu ingawa sio wote kutokana na uchafu walioufanya enzi za ukoloni. Alafu pia kihistoria ni wavamizi wa eneo hilo la misri. Misri ilikuwa misri ya watu Weusi sio hiyo ya waarabu. Ni wavamizi. Alafu wengine huwatenga watu weusi katika sala misikitini.
Ndugu yangu muombee kwa mema uanayaona kuwa yanafaa ila tambua vya kupewa vina gharama zake. Baada ya kupewa kinachofuata na masharti ili uwe chini yao hapo ndipo panapoanzaga tatizo. Mwisho ukikengeuka unakufa.
Ushauri wangu, mteja ajue salio lake kabla ya kutuma au kununua salio wakati wa kuaccess M pesa. Yaani kabla ya kuthibitisha yaje maneno kama haya;
Tuma au nunua sh kadhaa salio lako litakuwa sh kadhaa baada ya hapo ije step ya kuconfirm. Hii Itapendeza kuliko
Mum!!! Nimepata uelewa kidogo ila na hao wenzetu waarabu wakubahatika kuzaliwa siku kama hizo hapo ndipo huwa pananifanya nihoji. Ila kwa kiasi fulani nashukuru kwa jibu lako.
hello Jf members! Nimekuwa nikijihuliza sana hivi ni kwanini kuna majina ambayo mara nyingi hupatikana kwa waislamu weusi kwa mfano khamis, Maulid, Abasi na mengine mengi maana hata ndugu yangu mmoja anaitwa kwa majina kama hayo. Naomba msahada wenu labda mimi nina uwelewa mdogo juu ya hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.