Recent content by Mgumumwelevu

  1. M

    JamiiForums TMAA yaongeza makusanyo ya maduhuli (mrabaha) ya madini

    Kwa kwel katika Wakala ambazo zinzchapa kazi hii naikubali, maana juzijuzi nimetoka Geita naona jamaa wanasema asaivi Serikali imeamka kupitia TMAA, hadi chunya mgodi mpya jamaa wapo, pia ukibeba mchanga/kokoto na ukikamtwa hauna kibali chao ni noma maana unakuwa unakwepa kulipa stahii za...
  2. M

    JamiiForums Mrabaha ni 4% na sio 3% tena!!!!!!!!!!!!!!!

    Nafikiri ni jambo jema mdau kaliongelea kwani tumekuwa tukilalamika kwa mada mrefu sana kuhusu mrabaha wa asilimia tatu mdau!
  3. M

    JamiiForums Mrabaha ni 4% na sio 3% tena!!!!!!!!!!!!!!!

    Naona tokea Serikali imeanzisha Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) mambo yameanza kunyooooka, kwani nimeona pale mgodini Geita jamaa wakihaha kulipa Kodi ya mapato, hata jamaa yangu wa Rosolute alisema wameishiwa mbinu imebidi waanze kulipa tu. Jamaa wanabana kila kona hadi wabongo...
Back
Top Bottom