Recent content by mgumuhibao

  1. mgumuhibao

    Ofisa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda

    Huenda wamefanya kazi yao wazee wa kazi hao bana kila kitu kuwahiyana tuu
  2. mgumuhibao

    Ofisa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda

    Na huu ndiyo ujinga siku zote tunaoufanya wa kuajiri bila kuchukuwa hatua ya utafiti wa kina tukiendelea lazima utukosti
  3. mgumuhibao

    Arusha na mabilionea majambazi

    Jamsni tufanye kazi kwa ajili ya kuishi tuu na sii kwa ajili ya maendeleo maana huta kaa uyaone maana wenye nacho wanaongezewa na sisi wengine tunanyanganywa hata kile kidogo
  4. mgumuhibao

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Hahahaha hongera kwa kila kilichotokea mara nyingine ushamba upoteza wengi
Back
Top Bottom