Recent content by mgumu4real

  1. M

    Wanaume ni dhaifu kuliko wanawake! Nani anabisha?

    Chezea wewe! Hadi ATM card wanaachia na namba za siri wanataja. Hapo sikubishii mkuu...
  2. M

    Kwa vip ntajenga imani kwa wanawake wa leo.....?

    Duu! Pole xana. In short kumpata m2 mwenye vigezo vyote unavyotaka ni ngumu. Unaweza mpata demu kicheche na ukawa na uwezo wa kumshepu kitabia. But naamini ukitulia nawe utampata tu ucjali.
  3. M

    Swali kwa wanaume wafupi...

    Wakuu naona mnataka kuntoa roho. Haya bwana mmeshinda.
  4. M

    Swali kwa wanaume wafupi...

    Blue G. Thanx 4 ur advice na nimependa ushauri wako. Kiukwel cjawadharau but just commenting. Thanks mkuu
  5. M

    Swali kwa wanaume wafupi...

    Kweli nimeamini wanaume wafupi wana matatizo sana. Wasipopendwa wanalalamika utackia ooh mi mfupi ndo mana mademu wananikataa. Lakini wakipata bahati ya kupendwa wanaichezea. Kuna mdada amempenda sana mkaka mfupi,cha ajabu huyo kaka ndo kwanza pozi zmekuwa nyingi. Swali kwao short men labda...
  6. M

    Msaada....

    Kuna mdada mmoja, anasema amependana na mkaka ambae ana mtoto japokuwa aliachana na mama wa mtoto kama miaka miwili iliyopita. anadai anaogopa kuendelea na huyo kaka kwa sababu anahic anaweza akarudisha moyo kwa m2 aliyezaa nae mtoto. mpeni ushauri jaman.....
  7. M

    Nakushangaa wewe

    Daah! umetisha mkuu. hilo nalo neno. unakuta m2 anakumucha 2 lakin hakuhudumii chochote. na mbaya zaidi bado anashindwa kuamini kama wampenda na kuanza kukuhisia vi2 vya ajabu. mambo mengine mnaya7babisha wenyewe wanaume halafu mnabaki kutulaumu.
  8. M

    Inashangaza...

    Sasa akikaa na kinyongo atasaidiwaje? kumbuka mficha maradh kifo humuumbua jaman. dawa ya tatizo ni kulitatua na sio kuliweka kapuni...
  9. M

    Inashangaza...

    hivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo. hii imekaaje
  10. M

    yamenikuta nifanyeje??

    we tafuta nyumba nyingine usepe ili uepushe janga. nyumba zipo kibao
  11. M

    Jamani jamani harufu za midomo yetu ni kero kwenye 6x6

    hilo nalo neno. mpaka hamu ya denda inakata. duu...
Back
Top Bottom