Recent content by Mgumu04

  1. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Sisi kama simba tunataka ushindi siyo rotation
  2. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

    Madrid amepasuka chuma 3 hope majibu sahihi umeyapata. Unaswali jingine?
  3. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania USAID imeondoka - Nini Kifanyike Sasa

    Tunachojua sisi ni mitano tena.
  4. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    Mambo ya kujikwamua kiuchumi au biashara mimi huwa nalichukulia ni swala binafsi. Serikali yenyewe haiko tayari kumsaidia mtu mfano chukulia Serikali imeweka mfuko wa jimbo je hiyo fedha huwa inafanya jambo gani? Kuna pesa zile za halmashauri za 10% zina mlolongo mpaka basi . Nenda tena kuna...
  5. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ipo na Sisi au imeamua kutuzamisha kabisa?

    Technically tunasema mitano tena.
  6. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mukwala kapiga goli kali sana.
  7. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Uhalifu wa mitandaoni tanzania basi tena!!!! 2024 /2025

    Mtego huu kwa vyama pinzani na sivinginevyo.
  8. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufungua akaunti ya kikundi lakini napata ujumbe huu

    Kikundi kimeshaomba tayari mkopo kwa hiyo huwezi omba tena labda mpaka hayo maombi yawe rejected ndio unaweza omba tena
  9. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Ni biashara nzuri sana mtaji mkubwa au mdogo inategemea na location iko wapi? wateja wako ni wa hali gani?
  10. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Kuna mwanangu naye alipigwa hivi hivi nilimshauri asitume pesa kilichomkuta sasa alikula za uso.
  11. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Uchumi wa Kati US Dollar inakosekana vipi?

    Kwani ni lini tumewahi kufika huo middle class economy?
  12. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Mkuu hiyo amount ni ndogo sana at least anza na 3,000,000
  13. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Unashida gani Leta maada basi
  14. Mgumu04

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ps3 na ps4 used

    Mkuu nipm mimi ninayo na siifanyii kazi ipo ps3 bei kitonga mkuu
  15. Mgumu04

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

    Pm imefungwa
Back
Top Bottom