Recent content by mgt software

  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge wa East Africa Mh. Angela Kiziga lapata Ajari, Lauvaa Ukuta wa Shule Moga Primary

    Aiaee kumbe kitamba. Kwa sasa Ana Rolls Rolls-Royce
  2. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mwanadada anaefanya kazi melini anaeleza faida na changamoto anazopitia

    Duu hii hatari, unafua vinyeo alaf unakwepa Mavi ya mtoto mwenye pampasi unakutana na Fukushima la Mavi mtu mzima khaaa!!
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Kuna kampuni inaitwa Matupesa ni balaa kwa utukanaji.
  4. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Nasikia kashtuka anataka kujitoa.
  5. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Umeonaeee. Ni mwendo wa kulalama. Sijui wameona nini kule
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Toleo la kwanza alikatwa, sasa karejeshwa kinjama kueni makini hatakiwi
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Toleo la kwanza alikatwa, sasa karejeshwa kinjama kueni makini hatakiwi.
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Waja JF Ukisikia wahuni sio watu. Basi ndio hii. Kundi dogo la watu 14, liliongozana kwenda kwenye ofisi za chama likidai, wakazi wa Bunju. Wanalia sana kwa kuondolewa jina la Diwani Kheri Misinga, jambo ambalo ni la kihuni linatakiwa likemewe, madiwani wengi wastaafu, walikuwa wakiunda magroup...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Dar: Morocco na Mwenge kujengwa barabara za Juu. RC Chalamila ataka kazi ifanyike Mchana na Usiku

    Fly over za Morocco na Mwenge naona kama zimeota mbawa maana hakuna maandalizi yeyote yanayoonyesha ujenzi wa fly over licha ya kuonekana ujenzi wa BRT
  10. mgt software

    JamiiForums Tanzania ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

    Ipewe barabara zote za tz tuachane na hawa watching
Back
Top Bottom