Ndio maana mnamaliza chuo mkiwa weupe! Lecture ya saa 4 huishia kutoeleweka na wapokeji kukelimisha! Impact yake huishia kwa jamii. Kilimo na ufugaji hakuonyeshi mabadiliko kwani wahitimu ni vilaza walikuwa wanapewa lecture kwa saa 4. Kwenye vyuo vya kisasa wanafunzi huandaa presentations kwa...
Labda unajifunza kutoa makala lakini bado sana! Kichwa cha habari na na main article haviendani kabisa! Unajichanganya sana in such inapoteza mwelekeo kutoka mwanzo. Inaarudiarudia katika mada yako mpaka imekuwa ndefu bila sababu. Kabla ya kuitoa humu ungemtafuta mtaalamu aiedit na akupe mawazo...
Nashangaa mnavyohangaika na ZZK na nia yake ya kuweka hadharani dhamira ya kuutaka urais! Yeye kaweka kwenye fb ya kuwa atamuunga mkono mgombea yoyote atakayeteuliwa na chama chake na yeye atamuunga mkono kwa kumfanyia kampeni! Akimaanisha kwamba si lazima yeye awe mgombea urais! Nia akisisitiza...
ZZK haeleweki, wakati viongozi wenzake wanashughurika na kuimarisha chama yeye yupo busy na kujitangazia kugombea urais! Hata hivyo hafai kuwa rais anaonyesha hana uongozi wa pamoja! Haonyeshi kipi anachokiamini kama kiongozi. Sijaona kipi kikubwa anaweza kusimamia. Swala la madini ndilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.