Magu alishasema Tanzania ni nchi tajiri sana wala hahitaji misaada bali tutaanza kutoa misaada nchi za nje. Sasa nakushangaa wewe boya, misaada gani unataka upewe? Ina maana unaenda kinyume na maneno ya mkulu kama boya mwenzio Nkamia? Au unamaanisha Lissu atazishawishi nchi za ulaya zisipokee...
Wanyaturu sio wa hivyo, mnyiramba akagombee ubunge unyaturuni itakuwa kituko. Hapo chama cha kijani wataonekana mambwiga tu, hawaambulii chochote. Mtu kwao!
Usiandike usiyoyajua wewe. Watu tunahangaika kutafuta hela za kulipa ss hv halafu wewe unaleta habari za uongo!! Serikali ya awamu ya tano ni ya hovyo cjapata kuona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.