Hawa maprofesa walijidharaulisha wenyewe waliposema wameokotwa barabarani wakati walikuwa chuo kikuu mlimani hapo acha wasemwe akili ziwakae sawa warudi kufundisha
KWANINI LWANGA HAKUWA NA TIMU
Anaandika @exaud_msaka_habari
Ni kweli Lwanga mpaka anajiunga na Simba leo alikuwa free yani hakuwa na timu yoyote.
Ni hivi Kiungo huyo mkabaji alisaini mkataba wa miaka mitatu na Tanta Sports ya Misri ikiwa ni baada ya kufanya vizuri sana kwenye AFCON lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.