Recent content by Mgole16

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    Mleta mada nadhan kapitiwa anasoma human resource jamani hats Mimi nimesoma Mahala kubwa ni hr hiyo engineering sijui imetoka wapi
  2. M

    JamiiForums Tanzania DAWASCO kugharamia gharama za uunganishaji kwa wateja

    Ni bei gani kuunganisha maji wengine wanaweza kujigharamia salsa hivi si kusubiri kukatwa mwisho wa mwezi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo Kariakoo, maduka yafungwa

    Hizi machine bei ni nikubwa sana laki 8 ni mtaji wa mtu,
  4. M

    JamiiForums Tanzania TRA taarifa kwa Umma: Tishio la wafanyabiashara kufunga maduka

    Tuko tiyari kutoa receipts za EFD machine lakini hizo machine hatujapewa na JPM alisema tupewe tukusanye kodi laki nane nikubwa nitakata mtaji. Tunaomba hizo machine please
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kikurya apokonya majambazi matatu bunduki aina ya SMG

    Hongera Sanaa mama
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zari na makalio bandia

    Ni aibu kumjadili mwanamke mwenzio makalio nibora ungeleta uzi wa kujadili mafanikio yake ili nasi tuige tuwe Kama yeye au tumzidi kimaendeleo ,jamani tubadilike wadada
  7. M

    JamiiForums Tanzania EFD MASHINE

    Mh rais aliwaambia TRA wagawe hizi machine za EFD kwa wananchi wao kusanye kodi na juzi juzi waziri wa fedha alirudia, naomba kufaham utekelezaji umeanza au bardo? Na kama tiyari taratibu zikoje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania MREJESHO: Ni nani aliyewapa hawa 'Business permit' badala ya 'Work permit'?

    CTA zimefutwa
Back
Top Bottom