Recent content by mgogo wa dodoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    pole kwakuangukia kwenye penzi labda huja fafanua je? mnafahamiana usokwa uso aundio kama ulivyosema yupo humu boy unawezaje kumpenda usiemjua hata kama nipicha niwangapi wanaweka picha zisizozao wala majina yasio yao au umeamua kutupima akili ok msaada wangu kwako ni huu mtaje jina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

    alie uliza swali ukweli anaujuwa wewe waweke meza moja mashinji na kinana uwaulize wamefanya nn utajua hakika cdm ili ng'aa kwa nyota ya Lowasa tukiacha unafiki ila ccm imetembelea nguvu ya kinana na kujitumakwake kuzunguka vijiji vyote kukinadi chama hili ndilo pekee limeifikisha ccm hapa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ameathiri familia nyingi kisiasa na kiuchumi. Majibu yake ya "no comment" hayasaidii

    mikono michafu haibebi kisafi Bali ileiliyo michafu hubeba kilicho kichafu walio timuliwa uanachama ccm waende cdm njia nyeupe maana kampeni za chadema 2020 itahusu mfumuko wabei tu hakuna jingine lolote watakalo lisemea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinachomuogopesha Magufuli ndani ya chama chake CCM?

    kumvua uanachama mwanachama sio uoga nijasiri maana uoga nikumbembeleza hata asiefaa kwahofu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hapana: Nasita sana kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa

    mtu kuvuliwa uanachama anavuliwa muda wowote anapo shindwa kuendana na sehemu aliyopo mbona hili liko kwenye vyama vyote vya siasa cdm, cuf wamewahi wavua watu uanachama au kunya anakunya bata tu kuku tu bata anakuwa kahalisha 2020 mbali nimwaka amba ccm watashindwa kwakiwango cha juu kuliko...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

    kutojiamini niugonjwa uletao umasikini kukalili pia niugonjwa uletao ujinga Tz ni nchi nzuri iliyokuwa ikioza taratiibu kama kidonda na sisi pia tuishio Tz tulikuwa tuna oza ivoivo leo hali ya maisha imekuwa ngumu kidogo na wote lawama kwa selekali. ilea swali dogo la kujiuliza selekali ni...
Back
Top Bottom