Aseee mbona hawa jamaa wanajiaibisha sasa misamaha ya kodi anayopewa gwajima chini ya kanisa huwa wanampaje?akileta document ndo nn sasa itafuta kauli zake
Mungu akulaaani mtoa mada umeweka mada yako kishetwain kabisa sipati kuelewa mtu kama ww ni mwanadamu kweli?wale wanafunzi wamekosa nn?hao alshababu wanashindwa nn kuwakamata hao wanajeshi wa kenya na kuwaua huko somalia?hujawah fiwa na
Ndugu kwa kuchinjwa subiri
Zitto asiweweseke sana chama akipendacho chadema amekaa miaka 20 hakuwah kukanusha baadhi ya miamala inayomkumbatia namuonea aibu kijana mdogo kuwa mwizi ni kitu kinatsha sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.