Ni chapisho la muda kidogo lakini na mimi leo nimepata nafasi ya kujifunza na kutambua uhumimu wa technology. Hii ni fursa nzuri kwetu vijana nimependezwa sana na chapisho hilo
Vijn tukiamua swala la kuangaika na ajila litapungua
Barikiwa sana Mungu akuongezee pale muda ulio tumia kuandaa uzi...
Habari,
Naitwa MGISHA M. ANDERSON kwa sasa ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili katika chuo kikuu cha ushirika Moshi, nina diploma ya sheria natafuta sehemu ya kujitolea ili niweze kujifunza kwa kipindi iki nitakacho kuwa likizo.
Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana, mimi ni mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.