Recent content by Mgex boy

  1. M

    Nahitaji Digital satellite signal finder/meter

    Wakuu naombeni mnisaidie ni sehemu gani apa dar es salaam wanauza digital satellite signal finder/meter, na bei yake ni kiasi gani?
  2. M

    Kwanini Serikali isiajiri mafundi sanifu vifaa tiba wakutosha?

    Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua...
  3. M

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Sawa ngoja nitaifungua niiikague na kukaza sehem zilizolegea
  4. M

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    😂😂daah kwahiyo nijiandae kuzika au
  5. M

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Sasa boss ww ni fundi au kama ni fundi unapatikana sehem gani nikuletee unirekebishie
  6. M

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Sabufa yangu inatoa sauti inayokwaruza nini chanzo cha hili tatizo?
Back
Top Bottom