Recent content by mgaya99

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Swanga unataka kubadilishana na mtu wa wapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Kwangu mm eden haikufanya vizur kwanza ina nafas katikati pia ilishambuliwa sana na ugojwa wa kuoza kikonyo tatu ilikua nikichuma kama haijaiva vizuri nikisema nivundike inaoza ila kwa asila ilifanya vizur saana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo gharama za kununua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

    Wakuu tunaomba msaada kwa wazoefu hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Big up mzee wa sevia. Nipo rukwa but sevia kilimanjaro ndo mlinifungua macho kuhusu kilimo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Asante mkuu aman ng'oma tunalata wapi mbegu ya boer?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Asante mkuu kwa maelezo mazuri nimekuelewa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Mkuu kwa nini mara nying umekua ukiwashauri watu watumie mbegu za opv kwny hoho na sio hybrid? Nataka kujifunza kitu hapo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Habari ya kazi mkuu nauliza dozi ya mult k booster nitumie kiasi gani kwa bomba la lita 15?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mashine ya kutengeneza chaki

    ZA sido si mannual ?
Back
Top Bottom