Msaada kuhusu mbegu za nyanya

74829f0326063693fb1de6bfc9697797.jpg
 
Hizo ni punje km 1500 hivo inaweza kupanda km robo eka hivi ingawa haitamaliza kabisa robo. Kuna kikopo nadhan grm250 ndo itaweza cover eka nzima. Garama yake ni laki 4 na ushee hivi
 
Kwangu mm eden haikufanya vizur kwanza ina nafas katikati pia ilishambuliwa sana na ugojwa wa kuoza kikonyo tatu ilikua nikichuma kama haijaiva vizuri nikisema nivundike inaoza ila kwa asila ilifanya vizur saana
Eden inataka matunzo tangu kitaluni, na maji kwa ratiba iliyonyooka. Wakati wa joto asila haisumbui ila uzao wake ni mdogo ukilinganisha na eden
 
Eden inataka matunzo tangu kitaluni, na maji kwa ratiba iliyonyooka. Wakati wa joto asila haisumbui ila uzao wake ni mdogo ukilinganisha na eden
mkuu kwa jitihada zako...nimefanikiwa kuanzisha bustani yangu...hapo nilikuwa nafanya maandalizi...ila niliamua kununua miche...kukimbizana na hali ya mvua iliyopo...dar...muda huu
 
Attachments

  • IMG_20170410_082859.jpg
    IMG_20170410_082859.jpg
    412.3 KB · Views: 165
  • IMG_20170410_082841.jpg
    IMG_20170410_082841.jpg
    390.6 KB · Views: 148
Mkuu asante sana...leo nimeanza rasmi harakati za kuandaa shamba...ila ni kama ki bustani...kwa mbegu nimenunua miche ili kukimbizana na hali ya mvua iliyopo dar...kipindi hiki
561e08bde57d5e23f0f6f3cf5fe8f794.jpg
c98b6e5aebd0d91e1b72333614ab5089.jpg
a75bcef616f875d94421333373805aa7.jpg
miche umenunua wapi, mmoja kiasi gani na ni ya aina gani ~asila, anna.. ?
 
miche umenunua wapi, mmoja kiasi gani na ni ya aina gani ~asila, anna.. ?
Kwa mujibu wa aliyeniuzia anasema hii mbegu inaitwa f1 fupi...kila mche ameniuzia shilingi...144/= nipo dar...ila nimelazimika kwa tabu kusafiri kutoka hapa kwenda bagamoyo...kununua hiyo...miche...nimeanza na miche 700
 
wakuu, naomba kuuliza hivi nikichukua nyanya kisha nikatoa mbegu zake nikazipanda zitaweza kunipa mazao? maana huku nilipo uwezekano wa kupata mbegu ni mdogo..
Jomba kama unaweza kwenda sokoni nenda kachague nyanya mshumaa zilizoiva vizuri kisha toa mbegu zikaushe na usie mwenyewe nilikua nanunua mbegu lkn aina ya mbegu ni tofauti na iliyoandikwa kwa packet na zakununua madukani nyingi zinaota kabla hujaamisha znakauka kiuno...tengeneza mbegu peke yako znaota vizuri tuu ukipata nyanya nzuri
 
Mkuu labda umenunua kwenye chanzo kisicho jurikana...ila wapo wauzaji wa mbegu wazuri...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom