Recent content by Mgavi wa store

  1. M

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari wacha hadaa kwenye media

    Hizi siasa zinawatoa ufahamu ,,, Nasari piga kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sukari: Dr. Ackson Tulia (Naibu Spika), upongezwe?

    Waziri mkuu ana majukumu mengi yatupasa kumkumbusha huku mtaani hali mbaya sukari imekuwa anasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania malalamiko ya Rais kwa wafanyakazi

    Miundo mbinu inatengenezwa akili zako umeweka kabati lipi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa potofu kuhusu wahisani 10 kusitisha misaada yao kwa Tanzania

    Kasoma tengeru kilimo na mifugo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa potofu kuhusu wahisani 10 kusitisha misaada yao kwa Tanzania

    Brother pole pole waache serikali wakanushe wewe sio msemaji Wa serikali kama ukuu Wa wilaya mbona bado uteuzi wake mzee yupo mapumziko
  6. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

    Lizaboni umeshafanya kazi tayari wahi buku saba yako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kina nani hawakupinga misaada ya kigeni kabla ili kutaka kujitegemea?

    Nimegundua watanzania tunahitaji maombi maalumu kama hamtaki misaada mbona msaada Wa japani juzi mmepokea
Back
Top Bottom