JPM PUMZIKA KWA AMANI , TAIFA LINAHITAJI VIONGOZI WENGI WA KALIBA YAKO.
NITAKUKUMBUKA DAIMA MILELEEE!
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Members wengi humu under 35 na ndo wanaongoza kwa matusi na ujuaji mwingi[emoji16][emoji23]
Tukirudi kwenye hoja ya mtoa Mada 30 ni umri wakua umeshaoa angalau mtoto mmoja pamoja na kuisimamia na kuiongoza Familia kama unakipato Cha halali.
Kama wewe kipato chako ni Cha dhulma basi unapaswa Kuwa...
Mimi binafsi Naona makonda kawekwa na msoga gang kummaliza askofu mfufua watu[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni[emoji2960].
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Basi tumshukuru bwana kwa zawadi ya maisha ya uhai wake hapa duniani.
Tuendelee kuelimishana na kuchukua mazuri ya kila mmoja wetu na kuyadumisha.
Mabaya Yote kama binadamu tuachane nayo na tujenge nchi yetu kwa umoja, upendo na mshikamano.
Hatuna tz nyingine zaidi ya hii. Mungu aendelee...
Mshana toka nmeona uwepo wako humu jf pamoja na news zako nyingi si SIRI unajua vingi na tunapaswa kujifunza mengi kutoka kwako.
Hongera Sana kwa vipawa ulivyo barikiwa na Mungu. Lkn swali la kizushi ivi kwa nini ulimchukia JPM ?
Sawa, lkn hizo ni hujuma ambazo hata wew unaweza kufanyiwa .
Nae alikuwa imperfection kama sisi, so tusimhukumu Sana.
Kikubwa sisi tuliopo Hai ndo tupambane kwa nini zijengwe chini ya kiwango na pesa wamekula?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.