Recent content by Mgangaji

  1. M

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Hebu jiulize: Watanzania tunampendea nini Zito Kabwe, Dr Silaa, January Makamba, Benard Membe, DR. Rose Asha Migiro, Profesa Anna Tibaijuka n.k hawa wote wanautaka Uraisi je, wameofanyia nini Tanzania? Kama si ushabiki tu na Porojo za Kosiasa? The same kwa Lowasa.
  2. M

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Jamani Zitto na Mbowe ni kama Mtikila na Rostam Azizi. Kwani Mtikila alipiga kelele nyingi sana kwamba Pesa za Rostam ni za Shetani. Lakini mwisho wa siku Rostam alitoa ushahidi hata wa kumkopesha Mtikila hizo pesa za Shetani. Jamani tusiumize vichwa vyetu Zitto na Mbowe wanajuana, lakini...
  3. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Mungu wangu Hata Mwenyekiti wetu Muheshimiwa Mbowe ni FISADI? Au anapokea Pesa za Mafisadi (Shetani wa Tanzania). Mimi sijui Watanzania sasa tukimbilie wapi? Mimi ningeomba Mbowe Uwajibike kisiasa ili Usije kumpaka Rais wetu ajaye Dr. Slaa Matope ya ufisadi. Dr. Slaa kaa mbali kabisa na...
  4. M

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Ndugu yangu achane naye huyu ni shetani.
  5. M

    Picha: AMIRIJESHI MKUU, RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI TANZANIA LEO

    Wewe ndiye Mdini unayeangalia Uteuzi wa Rais katika mtazamo wa Dini badala ya uwezo wa mtu kuongoza. Badilika kwani utaangamiza Tanganyika kwa Udini.
  6. M

    Msimamo wa Nyerere, Mareale UN ulikuwa mmoja

    Acha Umimi. Hebu tuangalie hivyo vichwa vya Watanzania kwa njia ya umimi “ Basili Mramba, Grey Mgonja, Danniel Yona, David Mathayo, Edward Lowasa, Ritha Mlaki, Cleopa Msuya, Jumanne Maghembe, Fredrick Sumaye, Merry Nagu, Mbuge Lema, N.K. Sasa unda time ya Watanzania kwa kuangalia viongozi...
  7. M

    Msimamo wa Nyerere, Mareale UN ulikuwa mmoja

    Ndugu yangu mbona unametawaliwa na Ukabila sana? Huyu Chief Mareale alikwenda UN kuwakilisha Watanzania na Siyo Wachaga. Ninaona umeanza kujisifia kwamba Kasikazini kuna watu wenye akili sana kwa hotuba ya Chief UN. Tukianza kuwa na Umimi Mkoa wa Mara watasemaje, Wakwele nao watasemaje, huko kwa...
  8. M

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Zito Zuberi Kabwe
  9. M

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Ndugu yangu unachembe za udini badilika usimfikirie mtu kwa dini yake, kabila lake, rangi yake n.k. Heshima ya mtu itokane utu wake nbele za watu.
  10. M

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Unajuaje kama haina baraka za chama?
  11. M

    Je waziri mkuu Pinda alimdanganya Rais?

    Ukweli mawaziri wetu wamekuwa wakifanya hovyo kwa sababu ya kukosa kiongozi imara juu yao yaani Waziri Mkuu. Ndo maana unaona kila waziri anafanya analotaka au anavyojisikia na hakuna wa kuwasimamia. Pinda anatakiwa awajibike.
  12. M

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Kweli kabisa, hata mimi katika mawaziri ninaowakubali Kagasheki walikuwemo. Leo majangili watashangilia na huwenda zoezi lilifanyika kwa hujuma ili watu wawajibike. Ogopa Fisadi anambinu nyingi sana akizibiwa njia za. Kuiba.
Back
Top Bottom