Gud observation but still naona umeshindwa kuona potentiality ya eneo la upande wa Magharibi ya Tanzania kuanzia Mbeya, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Singida, Kigoma, Shy, Kahama, Bukoba, Bariadi na Musoma.
So, Ndege za ATCL za kutoka Mbeya zinaweza kupitia Iringa, Dodoma hadi Mwanza na nyingine...