Pia huamsha uwajibikaji, laiti angetoa tamko toka siku alipotangazwa kupotea kutokana na historia ya hawa watu kuwa kwenye mazingira magumu ya kuwindwa na kuuawa, pengine uhai wake ungenusurika. ndiomana baada tu ya maiti yake kupatikana na watuhumiwa wakakamatwa?
Lingekuwa linasisitiza umaskini,waumini wasingekuwa wanaomba kwa masaa mawili tu kwa juma ili wapate muda wa kufanya kazi,vp nyinyi mnaobudu karibia kila siku tena kuanzia alfajili mpaka jioni, kama sio kuwatia watu umaskini ni nini?
Toka ulivyoanza kuomba upokee,majumba,magari na utajiri huku...
Sasa kama virus walikuwa active kwenye nchi zenye baridi, inakuwaje sisi tukimbilie hizo chanjo tena kwa kuchukua fedha za mkopo ambazo sina hakika kama zimesalimika.
Hivi kwa maisha halisi ya mtanzania na miundombinu yetu, unaamini barakaoa ziliweza kusaidia kutokomeza corona ?
Una...
Wewe unaamini Tanzania tulikiwa na covid na chanjo ndio imeitokomeza😃?
Mimi kwenye ukoo wangu sijawahi kusikia mwanaukoo kachanjwa, na sijawahi kusikia ameugua au kufa kutokana na covid na sidhani kama kuna hospitali nchini yenye mgonjwa wa covid.
mataifa mengi yaliingia kwenye mandamano ya...
Wewe ni mpumbavu sana aisee!, yani uliweza kulala naye magetoni siku zote mpaka akapata ujauzito, leo ana mtoto unaenda kumlaza kwa mjumbe!, walah dhambi na laana ya huyo mwanamke na mtoto itakufuata popote kwenye maisha yako.
Uliwahi kifikiri angekuwa ndio mdogo wako au dada yako katendewa...
wewe unataka democrasia ipi?, kwani tupo chini ya utawala wa kidikteta?
Huyo Hitler unayemuita dikteta ndio aliyeleta mageuzi makubwa ujerumani,mataifa mangapi ulaya yapo chini tawala za kifalme na bado wana maendeleo makubwa,sisi tumekalia kuimbishwa ngonjera za democrasia lkn changes hakuna...
Propaganda za US na washirika wake hizo,wachana nazo,dunia ya leo hii utamdanganya nani.China ,Korea,Russia tumekuwa tukiambiwa zinatawaliwa na madikteta,sisi wenye democrasia mbona umaskini umetamalaki?
Yani nisomeshe watoto ili kesho waje kuwa watu wa hovyo wasiojali maslahi ya watanzania wenzao kama watumishi wa sekta za umma.
Ubinafsi na roho mbaya ndio zinawasumbua na kuwatia upofu na msione madhila wanayopata wananchi kutoka kwa watumishi wezi.
Nonsense😎
Kwahiyo mnataka watumishi wezi na wakandamiza haki za wananchi waendelee kuwa na sauti ili raia waendelee kunyanyasika!hakika nchi hii ina wapumbavu wengi.Makonda kandamizia hapo hapo,bado wanahema😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.