Kama umedhamilia kweli utampata tu,tatizo ni dhumuni lake na lako laweza pishana,
nakupa njia.
amka kila siku saa nane nusu usiku,washa udi ambao unapendwa zaidi na majini(kwailo nenda kawaulize wauza udi aina gani ya udi),kua peke yako sehemu au ndani ya chumba,fanya meditetation kwa kufocus...