Recent content by Mgalatasalai

  1. Mgalatasalai

    Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

    nampataje Katandula,,pleas
  2. Mgalatasalai

    Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

    shukrani ndugu
  3. Mgalatasalai

    Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

    Kweli ndugu.
  4. Mgalatasalai

    Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

    Habari zenu wakuu. Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata. Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku apply kazi ya ubaharia.
  5. Mgalatasalai

    Short ya umeme ktk Laptop

    Laptop inapopata short ya umeme wa kawaida au wa*Genereta*na haiwaki kabisaa,nianze kuangalia kifaa gani.? Niweze kujua tatizo kwa urahisi.
  6. Mgalatasalai

    habar za asubuh

    naomba msaada wa ku install Ram ktk pc yangu...kuna slots 2 lakin nikiweka Ram pande zote pc haiwaki,ila nikitoa moja inafanya kaz!...tatizo ni nin hapo?
Back
Top Bottom