Recent content by Mgagao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Azam Two mbona tangu jana hamuoneshi habari za saa mbili usiku?

    leo kuna nn?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Hapana mkuu sio hiyo, japo hiyo nyumba pia naijua, Yangu siiuzi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    poa poa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Asante mkuu kwa ushauri mzuri, kwanza kwa kuchukulia mkopo kwa kutumia hili eneo langu hapana mkuu, nyumba na eneo ina zaidi ya thaman ya 250M kuchukulia mkopo kwa ajili ya kitu cha 5M ni ngumu, kwa elimu yangu ya mambo ya mikopo pamoja na changamoto ya marejesho kwa sasa siwezi kuweka rehani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    karibuni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Upande nimeweka wapangaji, lililobaki nahitaji kulitumia mwenyewe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Hilo ni lakujadili mm nayeye kuona tutawekeza kiasi gani ili tufanikiwe!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Ndio nina hati yake, na lipo mwenge near TRA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Hapana mkuu nina original yake,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa nyama, kama tutatengeneza mabanda tunaweza kufuga kuku zaidi ya 1500, eneo lina ukubwa wa zaidi ya...
  11. M

Back
Top Bottom