Recent content by mfwalamagoha

  1. M

    Mrejesho: Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    mungu awabariki nyote mlio changia,binafsi niliguswa sana nasikitika sijafanikiwa kuchangia kutokana na majukumu niliyonayo kwa sasa
  2. M

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    anatafuta sifa mbaka anaharibu
  3. M

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    kwani alipigiwa kura ndani ya bunge?hivi yeye sio mwakilishi wa wapiga kura wake?fikiria Mara mbili
  4. M

    Maafisa wa TRA wakutwa na mamilioni nyumbani kwao

    inamaana awamu nne ilikuwa imelala usingizi wa pono
  5. M

    SHIKAMOONI wachoma nyama pale mikumi mbugani

    maeneo yangu hayo !!ila huwa najiuliza kama ni ngombe kweli!!
  6. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    na magereza !!!chakula cha wafungwa wanagawana maafisa magereza
  7. M

    Kesi zilizowahi kujipatia umaarufu mkubwa Duniani

    kuna kesi mbili kwa upande wangu. 1.kesi ya majambazi wa kitonga,nakumbuka nilitoroka shule kwenda kusikiliza hukumu. 2.kesi ya uchaguzi iliyo mpa umaarufu wakili masumbuko lamwai.(kesi ya kihiyo)
  8. M

    Kesi zilizowahi kujipatia umaarufu mkubwa Duniani

    sio kweli kleruu akiwa mkuu wa mkoa wa iringa ndio aliuwawa na mwamba mmoja wa kihehe alikuwa anaitwa mwamindi!!
  9. M

    Polisi wapiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mawazo

    kipindupindu huenezwa kwa kula kinyesi kibichi chenye vijidudu vya ugonjwa..kingekuwa kinaenezwa na mikusanyiko basi ibada zote zingezuiliwa !!
  10. M

    Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    kama ni kweli Leo nachinja jogoo
  11. M

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    wana makanyagio nimewapenda!!!kwa hiyo kikulacho hana chake?
  12. M

    TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    R.I.P mwana mabadiliko!!nitakukumbuka daima!!
  13. M

    Tahadhari kwa wale wanaolipwa kuzomea

    mie nililipwa 20,000= kuvaa t - shirt ya ccm !!!Leo nimetandika mlango wa kuingilia chooni kila mtu anaikanyaga
Back
Top Bottom