Recent content by mfungo

  1. mfungo

    Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

    <br> <br><br>Wakuu japo kuwa ni senseless kutoa hoja isiyo na ushahidi, nathubutu kukubali hoja hii kwakuwa tunajua huyu mzee alikuwa nani na kamwe huwa hawaachi kazi zao za ushushushu mpaka kifo. kwa mjibu wa maadilili ya kazi yao hawatakiwi kuisaliti serikali.Nina hofu na huyu mzee wetu kwani...
  2. mfungo

    GE2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

    Mwigulu usitafute huruma kwa wananchi, unyama wenu tunaujua. je mkakati wako wa kubambikia kesi viongozi wa chadema uliishia wapi baada ya kubwgwa mahakamani?
  3. mfungo

    Mahakama kuu kanda ya Iringa yatoa onyo kali kwa polisi kunyanyasa wanahabari...

    Wakuu huyu jamaa karudi shule kamalizie gumbalu naona alitoroka mapema kabla hajajua hata kuandika jina lake hajui mahakama inapokuwa inaendesha mashitaka boss wake ni nani? unajidisqualify wewe mwenyewe
  4. mfungo

    Wana-CHADEMA hata hili hamlioni,kweli mmeshikwa pabaya

    Baba wa familia usipoongelewa na mama watoto siku nzima hata ukiwa safarini yakupasa ujitathimin. Hawa jamaa lazima wataje BABA YAO CHADEMA
  5. mfungo

    Polisi inabidi wadhibiti midomo michafu. Wanaomtukana Rais wanakuwa wametutukana watanzania wote

    unaweza kuhukumiwa kwa dhambi za baba yako? Shame on ur ignorant head!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. mfungo

    Polisi inabidi wadhibiti midomo michafu. Wanaomtukana Rais wanakuwa wametutukana watanzania wote

    unaweza kuhukumiwa kwa dhambi za baba yako? ignorance eats your head shame on you!!!!!!!!!!!!!!
  7. mfungo

    Mzimu wa posho za wajumbe wa bunge la katiba unaweza kuvuruga mchakato wa katiba

    wewe na warafi wenziyo hamzidiani pua wala masikio. kwanini uchukue laki 2 inayonuka uvundo na damu ya watanzania na kujifanya hawatokununua unataka ununuliweje ndo uamini -----------? Acha unafiki we ni mtuhumiwa namba moja na wenziyo wanafuatia na ushahidi wa kukufunga umetoa we mwenyewe...
  8. mfungo

    Kuvamiwa mpaka wa kiwanja

    huyo mtu ni nani yako? je mnafananisha kabila?je kimepimwa? Nenda mahakama ya mwanzo wilaya unayoishi watakupa maelekezo ya kufanya. inaweza kuanzia kusikilizwa hapo au utaelekezwa kwenda BARAZA LA ARDHI LA WILAYA msipoelewana utaomba kukata rufaa mahakama kuu. Nijibu hayo maswali kabla ya...
  9. mfungo

    Naomba msaada wa kisheria wadau-nimeibiwa na mteja wangu

    USHAURI, Hilo ni kosa la jinai kesi kama hizo huanzia polisi ili upate mpelelezi wa jarada lako. Ushahidi wa kimazingingira unaonesha wazi kuwa yeye alichukua na kama si yeye basi anamfahamu mtu aliyechukua na hivyo amesaidia kuiba. Utakapofungua malalamiko polisi huyo mtu atakamatwa kama...
  10. mfungo

    Msaada: Sheria za upangaji nyumba

    MHESHIMIWA; Nataka nikushauri kama ifuatavyo Mahakama haiwezi kusikiliza mkataba unaokiuka sheria kuanzia uundaji wake, na swali la kwanza katika mahakama ni kutaka kujua kama kuna mkataba halali machoni pa sheria kwa kuangalia sheria za kanuni za mikataba inasemaje 1. mkataba huu ni miongoni...
  11. mfungo

    Kamati Kuu CHADEMA kwazuka ugomvi, Mjumbe wa Kigoma apigwa

    unaburudisha au unaburudishwa, come on !!!!!!!!!!!! Unasema lissu mbumbu wa sheria waweza kuvaa kiatu chake we ngumbalu!!!!!!! Tafuta size zako
  12. mfungo

    Kubaka:msichana mwenye u18 aliye na mtoto

    If a husband can rape his wife under the ground of sex to be played with no wife's consent wether she is suffering, she feels not sex what about a mare defense of a girl had born whilst under 18 years old? A general rule pre assumes under 18 to have no conset unless you raise a defend of being...
  13. mfungo

    Yaliyojiri heslb

    muulize tunaapeal kwa njia ya online au vp
  14. mfungo

    Zitto atoa ya moyoni mchakato wa katiba na kelele za kisiasa kuhusu katiba

    Nadhani oparesheni ya kichwa jamaa kafanyiwa ,ilimrusha akili kwa timamu zake anawaona watua wa magamba wanania ya kutafta mhafaka hasa ukizingatia mswaada ulivyopitishwa kibabe bungeni au kwakuwa alikuwa mtoro?Sishangai kwani kasaliti wenzake bungeni walipotoka nje kudai katiba.Hata ualimu...
Back
Top Bottom