Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai...
Wewe acha kukurupuka Alichosema Lema Ni ''ANAAMINI KAMA WALIVYO ZINGILA NYUMBA YAKE NA KUMKAMATA YEYE KWA MUDA ULIOPANGWA NA ALIYE WATUMA,ANAOMBA POLICE WAFANYE HIVYO KUWAKAMATA WALIO HUSIKA''
Usipende kuambiwa na wewe Unaropoka.
Wana Jf naomba kujua Pesa za Deci{DESI} zimeishia wapi?
Nakwamtindo huu kweli Bado Zipo?Nani Tumuulize?
Zitarudishwa kwa Wanachama waliozichanaga au?
Au zimeishatumika kwenye Biashara ya Mafuta?
Nisaidieni kujua Wana Jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.