Recent content by Mfikilwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    huyu ni wa kumpigania haswa aje unyamani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha na Wachezaji wa Simba SC bado wana tatizo la kushindwa kumsoma Mpinzani

    Simba hakuna beki za kati, ni ugonjwa mkubwa sana wa muda mrefu unaofumbiwa macho, wanahitajika mabeki wanaocheza kazi kazi siyo mabishoo hapo kati
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    beki mzuri sana, ni bora wangemuacha Che Malone, huyu na Lawi wangetosha
  4. M

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

    kibiashara zaidi, yanga na simba wakicheza club bingwa ni watu wengi sana wanalipia ving'amuzi vya azam kulikoni yanga na azam wakienda. kwa mantiki hiyo azam ubingwa wala nafasi ya pili hawana hesabu nao, wanajumuika tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mtu kama Bocco Simba unaonekana

    Tatizo la Simba siyo wachezaji, kocha ndiye tatizo 100%
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    hakuna sehemu niliposema asiende onana na doctor, ata mwenyewe amesema anakwenda huko kote, nimemshauri tu kama katika kuangaika kwake ata huko anaweza pita pia kama ataweza.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Pole sana kwa mitihani unayopitia. kujaribu tu, kuna maalim yupo Mkulanga kwa mwarabu (kituo kwa Mwarabu) wanamwita Malamba. Kabla kwenda na mtoto nenda mwenyewe Kwanza ukajue siku hizi utaratibu wake ukoje. huduma zake ni bure kabisa labda siku hizi iwe tofauti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

    Asante mkuu, nimeliweka hapa kwa tumaini la kuweza pata kwa bei nafuu kidogo, penye wengi mambo yanakuwa poa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

    Habari ya leo wakuu, Natafuta Turbo pamoja na fuel pump ya Nissan Patrol Y61, ZD30 engine tafadhali nicheki whatsapp kama unayo, Asante. +255675308774
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    Beach kabisa ama karibia na Beach?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kifafa usikilizeni redioni. Simulizi yake ni ya kutishaa!

    Dah pole sana, inasikitisha sana. katika tembea yangu katika pilika za kutafuta maisha nimewai fanya kazi na mjerumani mmoja mgonjwa wa kifafa, nilichoona jamaa alikuwa anavuta bangi, na alivyosema yeye inamsaidia sana, akivuta anakuwa sawa na anafanya kazi. Kwa wenye ndugu wenye kifafa labda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Kisarawe

    Lina mazao yoyote ama msitu tu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    Kula mil 2, nikupe moja, mwezi ujao nakupa 1
  14. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba heka 5 linauzwa Vigwaza

    Mkuu mwaga namba ya mtu wa kuwasiliana nae huko please
  15. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Kocha siyo mzuri yes, lakini usajili mzuri sana, mpira una matokeo ya kufungwa, kushinda ama Kudrow, bahati mbaya Yanguwanatubahatisha sana siku hizi, lakini ndiyo mpira, kocha mpya simkubali, lakini mechi ya leo Matola ndiyo amezingua nawaambia. so far timu ni nzuri sana, Chama mpira anaocheza...
Back
Top Bottom