Uzuri wake tunajua hii ni kesi ya urongo mkuu, kwa haiyo hata mahakama ikiamua vinginevyo bado mshindi atakuwa ni Lissu na hata umaarufu wake utongezeka mara dufu, mara nyingi mambo ya mizengwe mwisho wake ni aibu.
Mwalimu wangu wa Kiingereza wa darasa la nne(standard IV) narudia tena mwalimu wangu wa darasa la nne alinifundisha tofauti ya haya maneno mawili ''shall'' na ''will'' .Ukitumia neno shall ni kama unasema ''lazima liwe au lazima litakuwa hapa kwenye shall hakuna mjadala ni lazima utekeleze lile...
Sijawahi kusikia kesi ya uhaini ya mtu mmoja mahala popote hapa duniani. Yaani mtu mmoja akaiangusha nchi yenye vyombo vyote vya dola tena mtu mwenyewe wala si askari. haya mazingaombwe kwenye kesi hii ni maajabu makuu ya nane hapa duniani.
Hata wananchi wa kawaida kwa ujumla wote wakiamua kuigomea CCM inawezekana kabisa kuwatoa kwenye mizinga ya asali pamoja na kuwa wanamiliki dola, ni maamuzi tu ya pamoja.
Mke wake alimwaga mamilioni kwenye siku ya kuzaliwa ya yule mama mhuni, hizo ni pesa za wakandarasi, tuone kama ataendelea kumwaga hayo mamilioni huko kwenye wizara kame.
Mshukuruni Mkapa aliyewapa bure majengo na ardhi ya serikali pale Morogoro kuwa chuo kikuu cha waislamu, lla sivyo mungebaki tu na radio Imani, jeuri ya kuwa na vyuo 4 hamna, sijui wangapi wamechaguliwa kujiunga na hicho chuo chenu mwaka huu.
Pia kuna mjukuu wa baharia wa Kinyasa aliyehamia upande wa pili zama za jiwe alikuwa kila siku kelele, siku hizi kawa kimya kwa kuwa sasa ni zamu ya mtu wa kwao, hata baba yake alikuwa amepotea enzi za jiwe, siku hizi kila siku yupo kwenye kila shughuli na mwanya wake.
Yule kijana aliyeoa miss kutoka kwa akina ngosha naona kaambulia patupu pamoja na kujikomba kote ili arudi kwenye cabinet,,,mwambieni ICC ipo paleplae inamsubiri.
Mkuu ukisha anza kuona mtu ameanza kuwa na kichwa cha mviringo basi jua huyo si mwenzenu tena ni kupe na ashaanza kulamba asali, we angalia wale ambao hapo mwanzo walikuwa na vichwa vya kawaida tu lakini ghafla wameanza kuumuka na kuwa vichwa vya duara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.