Recent content by Mfaume01

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mkaa kwa bei ya jumla

    Naomba namba yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahyan mobile shoop

    Bei gani simu ya mezani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mkopo ili niweze kuweka sawa mambo yangu yanayonikabili.

    Mi ninakopesha ila dhamana yako nini?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Usijaribu tena hiyo itakupelekea uvunje ndoa yako Usipende kumshuku mume wako wewe ndio mwenye thamani ndio maana kakuweka ndani ya nyumba achana na hao wa nje itakupotezea muda Muheshimu,mpende na tekeleza wajibu wako kama mke ukifanya hivyo utaishi miaka mingi na ndoa itadumu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiogope kuyafungia makanisa holela ya kilokole; hawana madhara kwanza huwa hawapigi kura hawa ya nini kuwaogopa?

    Huwez kumkemea shetani kwa sauti ya kubembeleza lazma utikise ardhi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ya 10mil kwa kiwanja

    Ndio kimepimwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ya 10mil kwa kiwanja

    Kina offer
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ofa ya 10mil kwa kiwanja

    Mbezi beach ipo 29 kwa 20
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi za ndani

    Asante sana nichek kwa namba zangu : 0656831415/0687131423 Usichukue mda mrefu sana nauhitaj sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi za ndani

    Hapana sio lazima awe mzaliwa wa hapa isipokua awe hapa dar labda alishawahi kufanya kazi akaacha hapa iwe rahisi kuliko kuagiza kutoka mbali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kazi za ndani

    Natafuta dada wa kazi za ndani awe mtu wa dar es salaam Nitafute kwa namba : 0656831415/0687131423
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Infinix hot7

    Simu Aina ya Infinix hot7 Bado mpya Bei Tsh 250,000/-. Piga 0656831415/0687131423
Back
Top Bottom