Recent content by Mfarisayo Mweusi

  1. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Tukiachana na Na huyo unaemtuhumu, kibaigwa jinsi ilivyo almost 75% ya pesa zinazozunguka pale ni za moto[emoji91] na 25% zilizobaki ndiyo pesa halali yaani matajiri wa pale aaagh! aisee sijui hata nisemeje ila huo ndio ukweli
  2. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Kibaigwa ni nyumbani hivyo ule mji naufahamu vizuri. ukiwa unaelekea Morogoro basi mji huu upo karibu na mpaka kati ya Dom na morogoro yaani unatoka kibaigwa unaingia pandambili halafu gairo[morogoro] Sasa kwa ishu ya Gari la kutoka kahama kuja Dar kawaida huwa yanapita kibaigwa jioni kuanzia...
  3. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Tupatie link za hizo nyuzi mkuu
  4. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote mliopita A'level, uzi huu unawahusu

    Hawa kafikaje tena hapo mkuu[emoji28]
  5. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote mliopita A'level, uzi huu unawahusu

    Majina ya hvyo vitabu plz
  6. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Toshiba sattelite OS solution

    HDD 2 nilizobaki nazo moja ndio jamaa alinionyesha kwny program yake kwamba haina tena uwezo wa kubena windo hvyo labada niitumie kama external tu, na hii ya juzi TB 1 nayo pia niliinunulia external case baada ya window kucorrupt. Hakuna maneno mengine zaidi ya kustuck kwny jina TOSHIBA. Pia...
  7. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Toshiba sattelite OS solution

    Wakuu habarini za muda. Pc yangu ina shida naombeni msaada. Ni brand ya Toshiba satellite nilipewa na sstr tangu 2015 ambapo kabla ya hapo alikuwa anaitumia akiwa masomoni. Ilianza kuleta changamoto ya kuua hdd tangu 2018, mpaka sasa nimeshabadili HDD kama 5 hivi. Yaani naweza kuwa nafanya...
  8. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote mliopita A'level, uzi huu unawahusu

    Shukrani kaka SUKAH
  9. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote mliopita A'level, uzi huu unawahusu

    Comment kwa hapo chini[emoji1787]
  10. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote mliopita A'level, uzi huu unawahusu

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  11. Mfarisayo Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote mliopita A'level, uzi huu unawahusu

    [emoji120][emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom