Recent content by Mfariji Tanzania

  1. Mfariji Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shuga mamy

    Kwanza sipendi huo msamiati "Sugar Mummy", huku ni kuwavunjia heshima wanawake watu wazima hasa wenye wapenzi wenye umri mdogo, jambo ambalo sio kosa. Pia neno "Marioo" watu mnakosea kulitumia...Marioo ni mpenzi wa kiume asiye na mchango wowote kiuchumi kwenye penzi lake na mwanamke bila kujali...
  2. Mfariji Tanzania

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Urafiki upo. Kwani kazini kwako hakuna wanawake? je, ni maadui zako? Kwahiyo usidhani wanaume wote tunawatazama waschana/wadada/wamama kwa jicho la tamaa...wewe ndio wale wanaume ambao binti akikuomba lift tayari unamtongoza au akikuomba msaada wa pesa unadhani anakutega, acha ubaguzi...endeleza...
  3. Mfariji Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

    Labda wewe ndio hujaoa aliyepo kwenye kundi hilo. Na pia kuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi na hayapaswi kuingiliwa...
  4. Mfariji Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

    Kwanini mada nyingi ni za kushambulia dada zetu? Kwanini isifike mahala tukatambua mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku? Hivi mwanaume rijali unaanzaje kumsema mwanamke kuhusu wanja au makeup yake??
  5. Mfariji Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tunza nguvu zako za kiume, maisha haya bora mtu umuazime pesa atarudisha sio nguvu za kiume

    Acheni kupotosha wanaume, mwisho wa siku mtawanywesha sumu mkidai ni juice. Kutunza ni utashi wa mtu na mazingira anayoishi...ila katika swala la mapenzi, ni kweli mwanaume lazima awe sio tu nguvu za kiume, bali pia elimu ya kumridhisha mwanamke, tatizo wanaume au vijana wengi mapenzi ni tendo...
Back
Top Bottom