Recent content by mfanyakazfake

  1. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna kikundi Mwanza kinakamata Bajaj kibabe kwa kigezo cha 'wrong parking' kinatoza Sh 22,000 na hakitoi risiti

    Achana na hiyo kuna walinzi wa petrol station ya MOL na iko karibu kabisa na kituo cha polisi cha pamba hapa mwanza mjini na wanatoza ushuru bajaji kubebea watu karibu na kituo hicho cha mafuta na polisi wapo wanaangalia tu na ukikataa wanaweza kuharibu bajaji yako na wanatembea na fimbo na...
  2. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na ushindi wa urais 2025 kama ilivyokuwa kwa Donald Trump 2024

    Nawaza uchaguzi wa octoba urais CHADEMA achukue Tundu Lussu na mgombea mwenza awe John Heche
  3. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Mpina na hatima ya nchi yetu

    Msukuma ana bifu za kijinga sana na hana uwezo wowote sema ushirikina ndo unakabeba kila uchaguzi
  4. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Mpina na hatima ya nchi yetu

    Mzee wa mkono wa baunsa kashajaa kwenye mfumo na kwa akili yake anawaza kuja kuwa rais wa nchi ya tanzania hahahahaaa
  5. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Mpina na hatima ya nchi yetu

    Kitendo cha bunge la JMT kumkandia na kumtoa mbunge mpina, ni dhahiri shahiri tuna bunge la hovyo kabisa, imagine unamtoa mpina mle bungeni unabaki na nini sasa cha maaana kama suo gwajiboy peke yake
  6. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Vya kurithi havina uchungu

    Nilichojifunza kwenye hii Dunia ni kwamba vitu vyote vya kurithi havina maumivu au machungu katika maisha ya mtumiaji, aliyevirithi atatumia hovyo hovyo tu hata kama atarithishwa nchi/ Dunia bado ataitumia vibaya tu kwa sababu hana machungu nayo. Tujitahidi kurithisha watu maarifa badala ya...
  7. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Leo tumeiona tofauti ya wafiakazi na wafanyakazi, in betting we call it both team to score
  8. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Kila zama na nyakati zake, ccm wasiendelee kuzarau watz siku moja watawaazibu hawataamini macho yao, siasa mchezo mchafu sana
  9. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Naona watu wakirudi kwenye mabadiliko tena before 2025 nimekaa paleee
  10. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Ukiwa na akili ndogo unaweza kufikiri kula hadharani ni issue ya kawaida sana kumbe kuna watu wanasubiri kupelekwa mahakamani kwa kosa la kula hadharani daah
  11. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Nyamagana halina mbunge wala viongozi wa mitaa

    Nimelazimika kulisema hili baada ya kuona wananchi wengi wakiteseka kutokana mvua zinazoendelea kunyesha Barabara mbovu kila kona wananchi wanahamasishana kila iitwayo leo kutengeneza barabara za mitaa zilizoharibika vibaya huku mbunge wao hataki hata kuwapokelea hata simu, hali ya barabara za...
  12. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania CCM Chipukizi ni donda ndugu litakalokipeleka chama kaburini

    Ccmchipukizi maana yake nii? Wana faida gani kwa chama? Kwanini wawe watoto wengi wa viongozi na watu mashuhuri ndani na nje ya chama na sio mtoto wa mkulima na mfugaji? Je, mtoto wa mkulima na mfugaji huko Nanjilinji, kantalamba, ng'alita, kishumundu, Gamboshi, nshamba na huko kwingineko...
  13. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    African countries are not concerned[emoji848][emoji848]
  14. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Mwanasiasa akemea kuchanganya siasa na dini kanisani akiwa mgeni rasmi kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom