Recent content by Mfanowake

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa USA umetoka mafunzo yafuatayo

    Ni hivi Uchaguzi wa USA umetoka mafunzo yafuatayo: 1: Kuna ulimwengu wa roho 2: Kuna ulimwengu wa Mwili -Na ulimwengu wa roho ndiko vita vinakopiganwa.Na mahindi kutangaza.! -maisha ya watu ni matokeo ya maamuzi katika ulimwengu wa roho. Huku Kuna kambi mbili: yaani Giza na Nuru. -Yale...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Unaoga maji ya baridi au ya moto au ya chumvi au ya mvua au ya bwawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Labani mtaalam ameutaja katika SWOT analisisi!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Lb hapa uchawi! Unauanalaizi vipi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Imeanza Sasa kuongea! Sema Sasa!hakuna Siri!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Unaweza Sema wazi zaidi,?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    9!Wani sio kwa mafumbo tena! Es anasema ,"uthubutu"nauli ni uthubutu TU?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Ko.!uthubutu! Unamaanisha uthubutu TU!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Biashara yoyote ambayo itamfanya muhusika kukidhi anayahitaji! Es! Ni kweli ni hayo tunayasemeshwa na watalaamu na kwenye Vitabu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Hivi kweli hawa wahamasishaji wanataka mambo yote katika kuanza na kufanikisha Biashara? Naamana yote? Mimi niache kwanza nijifunze kwako! Karibu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wamarekani wako tayari kuongozwa na mwanamke?

    Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunaendesha Dunia au tunaendeshwa?

    Uko unao wafaa!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunaendesha Dunia au tunaendeshwa?

    Salam wadau, Huwezi kutenga siasa na maisha ya mwanadamu. Naomba niruhusu mjadala kabla ya kutoa mchango wangu! Karibuni!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa mzungu

    Powerful
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kilele cha ubinadamu?

    Kuna haja ya kuitafuta kweli upya. Kuna ulazima wa kujua tofauti ya ukweli na uhalisia. Tusimwachie pilato. Tumekimbia kuipita Dunia?
Back
Top Bottom