Source: Wizara ya Mambo ya Ndani na TBC
Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Simbachawene amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kujiuzulu kwa kushindwa kuzalisha vitambulisho vya Taifa kwa wakati,kwani tangu mwaka 2020 hadi sasa amezalisha vitambulisho Milioni 2 tu.
Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees ili aweze kupokelewa na kuanza masomo.
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.