Yaani namshukuru mungu...kumbe blood pressure ni hali ya kawaida hata kuwa na high BP ila kwa wakati fulani pekee ila sio kila siku ni kawaida, namshukuru Mungu kwa sasa BP yangu ni kawaida mara ya mwisho kupima ilikua 179/80 na ukimwi ni mwaka karibia wa pili huu sina
Kenge kama ninyi ndo wazazi wenu walipoteza mbegu zao bure tu, unasema ni ngumu kwa nini useme haiwezekani!? Mbona misri waliweza mobilisation hiyo na kufanya watu milioni 2 wawe pale tahrir square pale cairo na wakamng'oa mubarak!?
Hakuna kitu kama hicho, maana Dar ni wahamiaji na wenyeji ambao wengi ni waislamu ni wachache...hii idadi nakupa kwa mujibu wa sensa ya makanisa....dar ina takribani watu milioni 8 ....na zaidi ya milioni 5 ni wakristo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.