Recent content by Mfalme Ahmad

  1. M

    Kwa mtizamo chanya kama huu mapenzi hayatasumbua ulimwengu

    Watu wanaofarakana na kuchepuka ni kwa sababu ya maandalizi waliyopewa na jamii. Ndoa nyingi huvunjika kwa sababu ya kutoaminiana kati ya mke na mume. Hii ni kwa sababu ya matatizo katika malezi
  2. M

    Kwa mtizamo chanya kama huu mapenzi hayatasumbua ulimwengu

    Kama mtu anaingia katika ndoa kwa sababu ambazo si za kupata mapenzi na utulivu basi mtu huyo hauandaliwa na jamii yenye upendo na mapenzi ya kweli kiasi cha yeye kutofahamu umuhimu na manufaa yanayopatikana kwa kuwa na mwenzi sahihi na huishia kufuata mkumbo. Nimesema ndoa mpaka kwa wasomi...
  3. M

    Kwa mtizamo chanya kama huu mapenzi hayatasumbua ulimwengu

    kila kijana awe na mke ili afurahie tendo la ndoa na mahusiano. ili yasiwepo mateso mengi yatokanayo na maumivu ya mapenzi yasio ya uhakika, ili tuwe na uhusiano mzuri na muumbaji wetu. Ili mahusiano yetu yakubalike na kuheshimiwa na jamii
  4. M

    Kwa mtizamo chanya kama huu mapenzi hayata sumbua ulimwengu

    Mapenzi ni miongoni mwa mahitaji ya asili ya viumbe ambavyo huzaliana kwa njia ya kujamiiana. Mapenzi huliwaza na kufurahisha. Ama hakika napenzi ni zawadi ambayo viumbe tumepewa na muumba wetu. Mapenzi ni kitu ambacho kimepewa kipaumbele kikubwa sana na viumbe mbali mbali Mapenzi hayo hayo...
  5. M

    Kwa mtizamo chanya kama huu mapenzi hayatasumbua ulimwengu

    Mapenzi ni miongoni mwa mahitaji ya asili ya viumbe ambavyo huzaliana kwa njia ya kujamiiana. Mapenzi huliwaza na kufurahisha. Ama hakika napenzi ni zawadi ambayo viumbe tumepewa na muumba wetu. Mapenzi ni kitu ambacho kimepewa kipaumbele kikubwa sana na viumbe mbali mbali. Mapenzi hayo hayo...
  6. M

    Controversial Cure For AIDS Discovered

    hoax. it is deception
  7. M

    Njia ya kupata amani ya kweli duniani hii hapa

    Hakuna kitu chenye thamani kama maisha ya upendo na amani. Kila mtu anatamani apate amani ya kweli katika maisha yake ya kila siku. Ni jambo la kumshukuru mungu kwamba nchi yetu sio miongoni mwa nchi ambazo zina machafuko na vita japo hatuwezi kutabiri maisha ya baadae. Tunapaswa kumuomba mungu...
  8. M

    Jinsi ya kutokomeza umaskini moja kwa moja

    ha ha ha. Dhambi kama ukahaba, wizi, ufisadi na madawa ya kulevya vitatoweka vyenyewe kwenye mfumo wa usawa
  9. M

    Jinsi ya kutokomeza umaskini moja kwa moja

    Kupata bidhaa katika usawa ni haki ya kila mtu kwa sababu anatumia jasho lake na hakuna kuaziamana labda kwa mapenzi yenu wenyewe. Unafanya kazi na ukimaliza unaibuka supermarket kuchukua bidhaa za msingi kama chumvi, sukari, mafuta ya kupikia na nk. Tanzania sio nchi maskini hata kidogo...
  10. M

    Jinsi ya kutokomeza umaskini moja kwa moja

    Kiongozi wa kusimamia jambo hilo nipo nicheki @ zumbeahmad@gmail.com. An Idea is the beginning of reality
  11. M

    Jinsi ya kutokomeza umaskini moja kwa moja

    Usawa unakwamishwa na watu wachoyo, wabinafsi na walafi. Kama kweli watu wangekuwa na upendo basi kila mtu angeona umuhimu wa kutokomeza umaskini huu moja kwa moja
  12. M

    Jinsi ya kutokomeza umaskini moja kwa moja

    Umaskini ni suala ambalo linaumiza vichwa vya watu wengi sana. kila mtu hataki kuwa maskini. matajiri wanahakikisha kwamba hawafilisiki na kufanana na maskini na maskini nao wanahaha usiku na mchana kuhakikisha kwamba wanakuwa matajiri. Umaskini haupendi, umaskini unachukiwa, umaskini ni kero ya...
Back
Top Bottom