Recent content by mezamate

  1. M

    Mshahara bandarini

    Mshahara TPGS 7 ndo sh ngap boss?
  2. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    hahhah inhiiinhii
  3. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    Hata mimi kuna wakati wazo kama lako linanijia ila bado sijakata tamaa
  4. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    Mfano wako nimeupenda sana,kiukweli sio wote wanaooana dini tofauti wanaishia kugombana na kutengana.Zipo ndoa nyingi zilizodumu japo ni dini tofauti.
  5. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    Asante kaka,nitakaribia huko huenda nikaona chema ndani ya zizi la Bwana.
  6. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    Ahahah eti mkatoliki anatikisika msabato dini hairuhusu...
  7. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    Mmh hii sentensi ya mwisho nahisi inaukweli ndani yake
  8. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    ndio ninachofikiria tu,niwanunulie wazee hata rav 4 new model ili wanipe go ahead.
  9. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    yah kuna kipindi nikajaribu kuangalia mabinti wa imani yangu, kwakwel nikiwalinganisha na huyu wangu wa sasa anawazidi mno
  10. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    ila kweli,kwenye maisha kuna mda unapaswa kusimama peke yako
  11. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    sana sana ni juu ya siku ya kuabudu halafu ss hatuli nguruwe wao wanakuka
  12. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    dah ntampatia wap anaenipenda kama huyu mchumba wangu wa sasa
  13. M

    Kigezo cha dini katika mapenzi

    ndo nahitahidi kaka coz mn ndo ntakaeenda kuishi na huyo binti
Back
Top Bottom