Habari Wana JF naomba kuuliza Kama ifuatavyo
1. Kilimo Cha UFUTA mbeya kinalimwa wilaya gani
2. Masoko baada ya kuvuna yanapatikanaje hapo wilayani
3. Mtaji wake kuanzia kukodi shamba,kulima na kuvuna mpaka kuuza no kiasi gani
4. Lakini gharama za maisha hapo MKOANI kuanzia mahala pa...
Habarini wa Dsm mimi nikijana nipo nje ya dar es salaam ila natamani kufanya biashara dar es salaam lakin katika maeneo ambayo siyo ya watu wenye uwezo wa juu ila nataka katika maeneo ambayo kuna watu wa kati na kawaida ili nipate fremu(chumba cha biashara) kwaniaba ya duka la dawa ambacho...
Habiri zenu wadau poleni na majukumu ya kimaisha mimi nahitaji msaada kwa mtu anayefahamu au mkazi wa maeneo husika ya kuwa vyumba vya biashara Maeneo ya morogoro road gharama ya yaweza kua kiasi gan vinavofaa kwa biashara ya duka la dawa au duka la bidhaa za min market yaweza kua ni kiasi gani...
Mr.Henry naomba kuuliza gunia moja yaweza kama tsh. ngapi?,na je kusafirisha gunia moja kutoka arusha to dar es salaam ni tsh. ngapi pia kama unauzoefu(msaada!)
Ni kweli kaka ni biashara ambayo naipenda lakin inaniumiza kichwa jinsi ya kuianza kufanya coz bado nilikua sizifahamu changamoto zake ila nitajitahidi
Habari zenu wana JF samahan kwa usumbufu naomba kuuliza au ikibidi kushauriwa kabisa,
mara nyingi najiuliza kutokana na mabadiliko ya uchumi yalivo sasa hivi ,je hivi nibiashara gani ambayo mtu anaweza kuifanya jijini dar es salaam japo kwa mtaji wa mil.2..?.,Ushauri wenu tafadhali
Ndugu wana JF habari ya majukum...?,Nianze na samahani kwa wale ambao watanielewa tofauti,
Mimi natamani kujihusisha na biashara ya viazi mvingo/nyanya maji kwa maana ya kununua aidha mbeya/njombe kisha niuze dar es salaam, Lakin ndugu wana JF bado sijafahamu wapi nianzie hivyo naomba ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.