Recent content by meVSmafisadi

  1. M

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    Hapo kwenye OUT umewasasahau; 1.Anthony Diallo 2.Ngasongwa 3.Ritta Mlaki
  2. M

    Mizengo Pinda Waziri mkuu!

    Duh, hii kali kweli,sina mbavu! Hongera mheshimiwa Mizengo, tunakuangalia kwa macho matatu!!
  3. M

    Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

    Neema neema, neema imefunguliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!! vigeregere na vifijo jamani, mwanga umeanza kuonekana! na tukomae hadi mwanga mwangavu upatikane!! God bless us!
  4. M

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Kichuguu hapo umefanya 'thought extraction'ya nilichotaka kusema,hahaha! Nyerere alikuwa anaona mbali, huyu L.O Washa alimjua ni fisadi toka mwanzo! kweli tuna very bogus PM.
  5. M

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Aisee najisikia kuua mtu kutokana na hii ripoti! maana hawa jamaa wakiongozwa na huyu fisadi mkubwa,Lowassa wametuua kabisa,ndio maana hata mwalimu Nyerere alikuwa hampendi kabisa huyu mwizi,alijua undani wake. eeh mungu tusaidie uvumilivu usituishie tukaamua kujikomboa wenyewe! nasubiri kwa...
Back
Top Bottom