Recent content by Metsada

  1. Metsada

    Hongera IGP Sirro kwa kupuuza agizo la Lugola. Ni ujumbe tosha kuwa jeshi lina taratibu zake

    Uzi wako una upotoshaji na pengine una chuki binafsi kuhusu Waziri Kangi: Nitakujibu kama ifuatavyo; 1. Kimuundo na Kisheria IGP ndio Kiongozi wa Jeshi la Polisi hivyo anawajibika kuhusu utendaji wa jeshi hilo. 2. Kuwa Mteule wa Rais hakukufanyi kuwajibika kwa Mhe.Rais moja kwa moja. Wapo...
  2. Metsada

    Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Huyu Chahali akili yake ni mbovu sana. Yani the guy thrives in subversive activities. Ndio maana alifukuzwa kazi kwa aibu kwa sababu ya usaliti na kutumiwa na majasusi wa magharibi. Ndumilakuwili huyu kiumbe. Will you ever step your foot in Africa (any country)???????
  3. Metsada

    Wakili Jebra Kambole: TLS siyo mali ya umma, haijawahi kuwa mali ya umma na haitakuwa mali ya umma

    Akili yako haiko sawa. Kuwa mali ya umma sio lazima uwe unalipwa na serikali au kuteuliwa viongozi na serikali, TLS ni mali ya umma wa TZ kwa mujibu wa majukumu na shughuli zake. PERIOD
  4. Metsada

    Rais Magufuli zaidi ya kauli za kibabe ana nini kingine?

    andamana wewe mwenyewe na mama yako.... mie bado nina watoto 4 wadogo
  5. Metsada

    Kituo cha haki za binadamu, LHRC chatoa tamko kuhusu Abdul Nondo

    Hichi kituo kitafungwa very soon. Najua wengine hawatanielewa....
  6. Metsada

    Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

    Ingia barabarani hiyo tarehe. Ila hakikisha umenunua sanda na jeneza
  7. Metsada

    Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

    Ni kweli. hawa WATAJIFUTA TU hakuna namna. Hatutaki makelele ya vichaa katika nchi. Kazi yao kueneza uzandiki. Ni heri tusiwe na vyama vya siasa kama Saudi, Bahrain, Kuwait, Oman, etc
  8. Metsada

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Uliwai kufika KIBRA????
  9. Metsada

    Tetesi: Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya

    Uelewa wako wa masuala ya intelijensia na sheria za kimataifa ni mdogo sana hadi nakuonea huruma....
  10. Metsada

    Ukweli usemwe: Intelijensia ya CHADEMA is super and unique. Maamuzi magumu ni yale tu!

    Yani uelewa wako wa tasnia ya INTELLIGENCE ni mdogo sana- nakuonea huruma maana HUZIFAHAMU TAARIFA MUHIMU kuhusu mada uliyoileta hapa..... Kwa ufupi tu nikwambie - DOLA NI KITU KINGINE, Kwaheri.....
  11. Metsada

    Kilichofanywa na Serikali ya Kenya siyo Tusi la Kidiplomasia kwa Serikali ya Tanzania?

    Unaijua Diplomasia wewe???? Humjui Mkenya Vizuri wewe kiumbe
  12. Metsada

    Uganda: Hongera Mzee Museveni kwa kumsaidia Rais Magufuli kuelewa na kujibu maswali ya Waandishi

    Umejibu vizuri sana, tunahitaji Rais wa aina ya Magu na hatuhitaji FUNDI wa Kiingereza. Hivi wamewai Kujiuliza Kwanini Waandishi wa Novels UK na US na Nchi zingine ambako kiingereza ni asili yao wanatumia Apps maalum kufanyia editing vitabu vyao kabla ya kuvichapisha???
Back
Top Bottom