Mnaokataa ndoa wote wapumbavu
Wazazi wako wangekataa ndoa
ww ungekua wap,
wazaz wanafanya to their level best
kulingana na maisha yao magumu wanajibana bana we usome
uwe na maadili mazuri leo hii mtu
unamlaumu mzazi eti mmewaacha mabinti wanaliwa
ukiachana na wazazi kuwaacha mabinti
waliwe...
Kisaikolojia sio rahisi ukakili/ku Surrender mbele za watu, so next day think before publishing [emoji404][emoji404]
Mwanang @Mechanic97 sina baya na ww[emoji846][emoji846]
Bro mawazo yako skuping though yako nje ya uhalisia
yan kuna vtu vilivyo ndo vishakua na ndio uhalisia wenyew,
na uhalisia sku zote huwez ukalinganisha na imagination
Mfano mambo ya natural wealthy unayoongelea n kweli lakini sio guarantee
Ni sawa na kusema Africa ina natural wealth kuliko...
kuna hoja zngne znaboa Aisee ata alieishia la pili hawezi fikiria utumbo kiasi iko
“Et wenye viwanda wanajenga karibu na ofisi za serikali ili iweje?”
Shda akili kama hujaipa exposure
ukiona hata barabara tu inarekebishwa unaona Miundo mbinu ya kjijin kwenu n hatari Tanzania nzima
Pata...
Wajinga bhna, Asubuhi hii umeanza kujistukia?
Mm nna elimu?? Nmekwambia nna elimu?
Mm wala sjasoma ata darasa la kwanza ila siwezi kuwa na intell. Quot, kiduchu kama ww
Pom pom Crawl
Jamaa mshamba sana kwamba kazi yako ni kukagua post za watu au sio!” Akili yako inakutuma baada ya kuangalia unamjua mtu kwa percey ngapi??
Ww nkuletee Organc Chem, huchelewi kusema nmekudharau
That’s why we use Anonymous kama ndo skuwa tayar ujue jna tu halisi leo ndo utajisifu umejua Mm n...
We ndo mjinga pro, yan maelezo yako yamekaa ki fasebuk facebuku utazani imeletwa na umeijua juzi
Waachie watoto wa sekondari Otherwise mtu akitokea tena akakuchana ukweli uskasrike
Na unavo kasrika na kutukana hovyo humu
inaonyesha kabisa ww “AKILI ZAKO NYINGI NI CHACHE”
Tekno, itel, watu wa mikoani na fesbuku ni hivi[emoji1666]
Umekaa zako Mara paap
“Amina is feeling Pregnant with you”
Tokea hapo staki tena
kuiskia fesibuku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.