Recent content by METHORD EMMANUEL

  1. METHORD EMMANUEL

    Msaada tafadhali

    Dogo yupo vizuri, sema kuna tatizo la walimu wa sayansi kama nilivyoeleza.
  2. METHORD EMMANUEL

    Msaada tafadhali

    Asante kwa ushauri
  3. METHORD EMMANUEL

    Msaada tafadhali

    Habari wakuu! Ninamdogo wangu anasoma A-level katika shule (flani) ya serikali mkoani Mtwara anataka kuihama shule hiyo. Hii ni kwasababu anadai kuwa kuna uhaba wa walimu wa sayansi katika shule hiyo kwani anachukua comb ya CBG. Sijajua kama ni kweli lakini sinabudi kumhamisha kama anavyodai...
  4. METHORD EMMANUEL

    Msaada tafadhali

    We nenda academic certificates zako utapokelewa.
  5. METHORD EMMANUEL

    Je una PC? Kuna fursa...

    Hela ndogo sana,unaweza usiingize chochote kwa siku ukaishia kupost tu.
  6. METHORD EMMANUEL

    Naomba msaada kwa waliokwisha ripoti UDOM

    R.slip ya mwaka 2014 imeexpire hivyo utasumbuliwa sana. USHAURI Nenda baraza wakupe cheti chako then uje kuripoti. Pia kama unaweza lipia kila kitu huko kwani huku utasumbuka kwasababu kuna foreni kubwa katika benki zote(mjini na chuoni).Jitahidi ulipie kila kitu kwasababu hautasajiliwa ikiwa...
  7. METHORD EMMANUEL

    msaada jamani

    Tusubiri labda kesho tuone.
  8. METHORD EMMANUEL

    Msaada

    Asanteni sana hatimaye TCU wamenipangia UDOM ila nasubiri approval kutoka kwao.Mwanzo ulikua hata ukiclick kwenye view selection haionyeshi chuo wala program niliyokua nimepangiwa.s
  9. METHORD EMMANUEL

    Msaada

    Mi mwenyewe nimetemwa naambiwa nimechaguliwa nisubiri chuo kuniconfirm lakini hakuna course wala chuo nilichopangiwa.Msaada jamani.You have been provisionally selected. The programme selection shall become final after the University/Institution confirms you for admission. Be advised that the...
  10. METHORD EMMANUEL

    Haya wale wa second round Mambo tayari

    Mi niliapply kwa mara ya kwanza kabisa na nikaambiwa nimechaguliwa lakini selection ilitoka sikupangiwa ktk vyuo vyote nilivyokua nimeomba,nilitaka ni edit information lakini ilishindikana kwani nilikua nikiambia tayari nimeshachaguliwa nisubiri kupangiwa na Cas imefungwa. USHAURI Kama na...
  11. METHORD EMMANUEL

    2nd batch

    Ni shida ila ngoja tusubiri.
  12. METHORD EMMANUEL

    Burundi Blocks Foreigners at Border as Violence Escalates

    Kweli kabisa wataanza kuilaumu Marekani.
  13. METHORD EMMANUEL

    Burundi Blocks Foreigners at Border as Violence Escalates

    That's a biggest prob of African leader,They think that they are powerful enough to stay ever in power yet it is impossible.I think if P.Nkurunziza does not want to leave for others to rule he is going to die,coz Burundians won't let him survive.
Back
Top Bottom