usilaumu kuwa Udsm inatoa product mbovu bali ni uongozi wa ngazi za juu unaosababisha mambo ya chuo cha UDOM kushuka kwa hadhi ya kitaaluma kwa kulinganisha na vyuo vingine,kwanza UDOM siasa nyingi sana upande wa uongozi wa ngazi za juu na pia udini ni ambavyo vinavyopelekea chuo chenu cha Udom...
kama kawaida wadau tunaomba dua zenu kipindi hiki tunapoanza mitihani yetu ya kumaliza semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014,UDSM(Main Campus,DUCE & MUCE),tunaanza tarehe 3 mpaka 14 mwezi wa pili,Mungu ibariki UDSM.
sijapanic ila naona unataka tuendelee kutawala humu JF,na kama una wasiwasi na mimi basi baki hivyo,natoa onyo la mwisho kuwa kama utaendelea kujibu comments zangu basi nitakuwa bwana wako,na kama ukinyamaza kimya basi utakuwa umeniogopa,I love UDSM ever
siwezi ongea na vijana wa kizazi cha mulugo yaani umefanyiwa standardization lakini tokeo lako bado bovu na umepeleka huko Songea,hasa unaanza kujutia chuo chako hicho ulichochaguliwa,achana na mimi kipanga ambae sina shida ninasoma chuo bora sana barani Afrika na Ulimwenguni pia(UDSM),huku...
mbona hujiamini wewe kijana wa kizazi cha mulugo,nani kakwambia mimi nataka UDOM,au umepelekwa huko UDOM afu unajuta sana,naomba nijibu swali langu kasoma chuo gani ndo tuendelee na mambo mengine,kama hutaki basi usiwe unaleta posts zako za kidwanzi humu JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.