Recent content by Messenger Studio

  1. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Movies mpya kali sana!!

    Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi. Aksanteni nyote!!
  2. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA MOVIES LIBRARY

    Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali, 1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia. 2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
  3. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KUJIKWAMUA KIMAISHA.

    Degree
  4. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KUJIKWAMUA KIMAISHA.

    Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs 400, 000 (Laki nne) pamoja na laptop, naombeni msaada wa ushauri nifanye mishe gani ili niweze...
  5. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Nikimaliza chuo nifanye nni?

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!! Mwenye ushauri wwte naomba...
  6. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    [emoji119][emoji1666]
  7. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Shukran sana
  8. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Padre Kitima. Hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi. Sijaoona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Nisaidieni huo mkataba namm niusome jmn!!!
  9. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Shukran
  10. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Nmependa wazo lako Aksante
  11. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Nimeipenda page yako . Thank you
  12. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Nyumban ni Tabora. Baada ya kumaliza chuo napenda kuishi dar (asilimia kubwa) au mwanza.. Mm napenda mambo ya kutumia computer. 1.Sahz npo najifunza mambo ya Video editing. 2.Pia napenda mambo ya photography/photoshop. Computer nafaham kuitumia kwa kiasi kikubwa na hatakama ktu flani ambacho...
  13. Messenger Studio

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nipo Dar es Salaam mitaa ya Magomeni, nmekaribia kumaliza chuo. Hapa nilipo ninak kiasi cha shilingi Laki sita na nusu na PC. Naomba ushauri nifanye mishe au biashara gani ili maisha yapate kusogea kidogo kuliko kurudi kukaa nyumbani kijijini. Mimi sina...
Back
Top Bottom