Recent content by Mess

  1. Mess

    Wito: Posho za nyumba, umeme, maji na simu kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa zifutwe

    Usiahau kumtaja mwenye hati miliki ya hilo ulosema maana ni nukuu.
  2. Mess

    Operesheni Zinduka: Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Freeman Mbowe

    Hivi wewe kaka umeamua kujitoa ufahamu kabisaaaa, ulikuwa na reputation nzuri sana na watu walikusikiliza lakini sasa naona umeondoka katika kipindi ambacho tulikuhitaji sana. Heshima ya mtu hutokana na mambo ambayo anayafanya kila siku, yenye maslahi kwa jamii nzima, ukifa watu watalia kama...
  3. Mess

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    mbona hakumchukulia hatua yoyote?
  4. Mess

    Taja hata Mkoa mmoja CCM utashinda katika uchaguzi October 2015, sababu sioni...

    Tabora watachukua kura nyingi na dodoma punguza weka 50%
  5. Mess

    UKAWA kuweni makini na hili mtashinda ila Ikulu hamtaingia

    Bila shaka wewe ni mke wa Nape
  6. Mess

    Utafiti: Wanaume wenye tabia hizi ndio wanaongozwa kwa kusalitiwa

    research iko wapi tu google tusome from source, au ni mtazamo wako tu. maana nikiangalia naona kama yote umekosea nao huo ni mtazamo wangu tu. Tunataka tuone imefanyika lini, wapi, sample size, na target group(age) na mengineyo
  7. Mess

    Mkakati wa UKAWA na vitambulisho vya kupigia kura, kwanini na Zacharia Hans Pope?

    Mkuu kimbilia mahakamani kama una uchungu na hayo, wenzio hatujaona tunaendelea na safari ya kushionda kihalali
  8. Mess

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Kuna mambo ambayo huwezi yazuia, kama rais mwenyewe alishindwa kumuweka membe mpaka akakatwa, hilo somo. Hasmuwezi zuia mabadiriko mwaka huu, hata shetanio atapewa urais ila si CCM.
  9. Mess

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Anayefuata ni "Mbatia". Kwa mtazamo wangu kuna watu huwa nawaona kama sio wapinzani mila wapo kwa ajiri ya matumbo yao tu. Orodha yangu ni hii: Nisiowaamini: 1. Mbowe 2. Lipumba 3. Mbatia 4. wapinzani wa kweli 1. Dr Slaa 2. Tundu Lissu 3. Mnyika 4. Maalimu seif 5. Hamduni Juma Hao watatu wa...
  10. Mess

    Kubenea, Kibanda, Professor J, Roma hii ni ndoto yangu tu

    Nawaza kama timu CHADEMA niijuayo itakuwa bungeni, halafu tukaongeza Kubenea, Kibanda, Prof. J, Roma na wengine wengi. Tutakuwa tunaacha mechi za premier, na za nchini kuwahi kuangalia Bunge. Kwa nini nimewataja hawa? Kwa kuanzia, wana sifa moja inafanana, nayo ni "Hawana woga penye ukweli"
  11. Mess

    Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Hivi kwa hali ya kawaida mimi nikijiangalia nikikimbia familia yangu na endapo mke wangu hafanyi kazi miezi mitatu tu hali itakuwa tete???? think about it? Then mtu anakuja kujilalamisha hapa eti mke ana kosa that is stupid !! Hebu kwa mfano nyumba yako hiyo ingekuwa mil. 50, matumizi ya watoto...
Back
Top Bottom